Back to Languages

Swahili - Chapter 106 - Quraysh

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 1 — Surah Quraysh 106:1

Kwa walivyo zoea Maqureshi

Verse 2 — Surah Quraysh 106:2

Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto

Verse 3 — Surah Quraysh 106:3

Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii

Verse 4 — Surah Quraysh 106:4

Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu