Back to Languages

Swahili - Chapter 46 - Al-Ahqaf

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 13 — Surah Al-Ahqaf 46:13

Hakika walio sema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu; kisha wakatengenea, hawatakuwa na khofu, wala hawatahuzunika