Back to Languages

Swahili - Chapter 46 - Al-Ahqaf

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 18 — Surah Al-Ahqaf 46:18

Hao ndio ambao imehakikikishwa hukumu juu yao kama mataifa yaliyo kwisha pita kabla yao miongoni mwa majini na watu. Hakika hao wamekuwa wenye kukhasiri