Back to Languages

Swahili - Chapter 46 - Al-Ahqaf

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 21 — Surah Al-Ahqaf 46:21

Na mtaje ndugu wa kina A'di, alipo waonya watu wake kwenye vilima vya mchanga. Na kwa yakini waonyaji wengi walitokea kabla yake na baada yake kuwaambia: Msimuabudu isipo kuwa Mwenyezi Mungu. Hakika mimi nakukhofieni isikupateni adhabu ya siku iliyo kuu