Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 46 - Al-Ahqaf
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 25 — Surah Al-Ahqaf 46:25
Unaangamiza kila kitu kwa amri ya Mola wake Mlezi. Wakawa hawaonekani ila nyumba zao tu. Hivyo ndivyo tuwalipavyo wakosefu