Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 46 - Al-Ahqaf
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 31 — Surah Al-Ahqaf 46:31
Enyi kaumu yetu! Muitikieni Mwenye kuitia kwa Mwenyezi Mungu, na muaminini, Mwenyezi Mungu atakusameheni, na atakukingeni na adhabu chungu