Back to Languages

Swahili - Chapter 46 - Al-Ahqaf

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 34 — Surah Al-Ahqaf 46:34

Na siku watakapo letwa makafiri Motoni wakaambiwa: Je! Haya si kweli? Watasema: Kwani? Tunaapa kwa Mola wetu Mlezi, ni kweli! Atasema: Basi onjeni adhabu kwa sababu ya kule kukataa kwenu