Back to Languages

Swahili - Chapter 58 - Al-Mujadila

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 13 — Surah Al-Mujadila 58:13

Mnachelea kutanguliza hiyo sadaka kabla ya kusemezana kwenu? Ikiwa hamkufanya hayo, na Mwenyezi Mungu akapokea toba yenu, basi shikeni Sala, na toeni Zaka, na mt'iini Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda