Back to Languages

Swahili - Chapter 58 - Al-Mujadila

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 18 — Surah Al-Mujadila 58:18

Siku atakayo wafufua Mwenyezi Mungu wote, wamuwapie kama wanavyo kuwapieni nyinyi. Na watadhani kuwa wamepata kitu! Kwa hakika hao ndio waongo