Back to Languages

Swahili - Chapter 58 - Al-Mujadila

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 2 — Surah Al-Mujadila 58:2

Wale miongoni mwenu wanao watenga wake zao, hao si mama zao. Hawakuwa mama zao ila wale walio wazaa. Na hakika hao wanasema neno linalo chusha, na la uwongo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kughufiria, Mwenye kusamehe