Back to Languages

Swahili - Chapter 58 - Al-Mujadila

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 9 — Surah Al-Mujadila 58:9

Enyi mlio amini! Mnapo nong'ona msinong'one kwa sababu ya mambo ya madhambi, na uadui, na kumuasi Mtume. Bali nong'onezane kwa kutenda mema na kuacha maovu. Na mcheni Mwenyezi Mungu ambaye kwake mtakusanywa nyote