Back to Languages

Swahili - Chapter 59 - Al-Hashr

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 14 — Surah Al-Hashr 59:14

Hawatapigana nanyi kwa mkusanyiko isipo kuwa katika vijiji vilivyo zatitiwa kwa ngome, au nyuma ya kuta. Wao kwa wao vita vyao ni vikali. Utawadhania kuwa wako pamoja, kumbe nyoyo zao ni mbali mbali. Hayo ni kwa kuwa wao ni watu wasio na akili