Back to Languages

Swahili - Chapter 59 - Al-Hashr

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 22 — Surah Al-Hashr 59:22

Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mwenye kuyajua yaliyo fichikana na yanayo onekana. Yeye ndiye Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu