Back to Languages

Swahili - Chapter 59 - Al-Hashr

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 23 — Surah Al-Hashr 59:23

Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye nguvu, Anaye fanya analo litaka, Mkubwa, Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha nayo