Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 59 - Al-Hashr
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 3 — Surah Al-Hashr 59:3
Na lau kuwa Mwenyezi Mungu asingeli waandikia kutoka, angeli waadhibu katika dunia. Na katika Akhera watapata adhabu ya Moto