Back to Languages

Swahili - Chapter 59 - Al-Hashr

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 4 — Surah Al-Hashr 59:4

Hayo ni kwa sababu walimpinga Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na mwenye kumpinga Mwenyezi Mungu, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu