Back to Languages

Swahili - Chapter 59 - Al-Hashr

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 5 — Surah Al-Hashr 59:5

Mtende wowote mlio ukata au mlio uacha unasimama vile vile juu ya mashina yake, basi ni kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na kwa kuwahizi wapotovu