Back to Languages

Swahili - Chapter 62 - Al-Jumuah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 11 — Surah Al-Jumuah 62:11

Na wanapo iona biashara au pumbao wanayakimbilia hayo na wakakuacha umesimama. Sema: Yaliyoko kwa Mwenyezi Mungu ni bora kuliko pumbao na biashara. Na Mwenyezi Mungu ni Mbora wa watoa riziki