Back to Languages

Swahili - Chapter 62 - Al-Jumuah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 2 — Surah Al-Jumuah 62:2

Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, na awafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri