Back to Languages

Swahili - Chapter 62 - Al-Jumuah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 5 — Surah Al-Jumuah 62:5

Mfano wa walio bebeshwa Taurati kisha wasiibebe, ni mfano wa punda anaye beba vitabu vikubwa vikubwa. Mfano muovu mno wa watu walio kadhibisha Ishara za Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu