Back to Languages

Swahili - Chapter 62 - Al-Jumuah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 7 — Surah Al-Jumuah 62:7

Wala hawatayatamani kabisa, kwa sababu ya iliyo kwisha yatanguliza mikono yao. Na Mwenyezi Mungu anawajua walio dhulumu