Back to Languages

Swahili - Chapter 62 - Al-Jumuah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 9 — Surah Al-Jumuah 62:9

Enyi mlio amini! Ikiadhiniwa Sala siku ya Ijumaa, nendeni upesi kwenye dhikri ya Mwenyezi Mungu, na wacheni biashara. Hayo ni bora kwenu, lau kama mnajua