Back to Languages

Swahili - Chapter 63 - Al-Munafiqun

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 1 — Surah Al-Munafiqun 63:1

Wanapo kujia wanaafiki husema: Tunashuhudia ya kuwa wewe ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu anajua kuwa wewe ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu anashuhudia ya kuwa hakika wanaafiki ni waongo