Back to Languages

Swahili - Chapter 63 - Al-Munafiqun

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 2 — Surah Al-Munafiqun 63:2

Wamevifanya viapo vyao ni kinga, na wao wakajizuia kuifuata Njia ya Mwenyezi Mungu. Hakika ni mabaya kabisa waliyo kuwa wakiyafanya