Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 63 - Al-Munafiqun
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 3 — Surah Al-Munafiqun 63:3
Hayo ni kwa sababu ya kuwa waliamini, kisha wakakufuru; kwa hivyo umepigwa muhuri juu ya nyoyo zao. Kwa hivyo hawafahamu lolote