Back to Languages

Swahili - Chapter 63 - Al-Munafiqun

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 5 — Surah Al-Munafiqun 63:5

Na wanapo ambiwa: Njooni ili Mtume wa Mwenyezi Mungu akuombeeni maghfira, huvigeuza vichwa vyao, na unawaona wanageuka nao wamejaa kiburi