Back to Languages

Swahili - Chapter 63 - Al-Munafiqun

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 7 — Surah Al-Munafiqun 63:7

Hao ndio wanao sema: Msitoe mali kwa ajili ya walioko kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu, ili waondokelee mbali! Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye khazina za mbingu na ardhi, lakini wanaafiki hawafahamu