Back to Languages

Swahili - Chapter 8 - Al-Anfal

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 10 — Surah Al-Anfal 8:10

Na Mwenyezi Mungu hakufanya haya ila kuwa ni bishara na ili nyoyo zenu zituwe. Na haupatikani ushindi ila kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, na Mwenye hikima