Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 8 - Al-Anfal
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 28 — Surah Al-Anfal 8:28
Na jueni ya kwamba mali zenu na wana wenu ni Fitna (mtihani), na kwamba kwa Mwenyezi Mungu upo ujira mkubwa