Back to Languages

Swahili - Chapter 8 - Al-Anfal

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 48 — Surah Al-Anfal 8:48

Na pale Shet'ani alipo wapambia vitendo vyao, na akawaambia: Hapana watu wa kukushindeni hii leo, na hali mimi ni mlinzi wenu. Yalipo onana majeshi mawili, akarudi nyuma, na akasema: Mimi si pamoja nanyi. Mimi naona msiyo yaona. Mimi namwogopa Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu ni mkali wa kuadhibu