Back to Languages

Swahili - Chapter 8 - Al-Anfal

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 50 — Surah Al-Anfal 8:50

Na laiti ungeli ona Malaika wanapo wafisha wale walio kufuru wakiwapiga nyuso zao na migongo yao, na kuwaambia: Ionjeni adhabu ya Moto