Back to Languages

Swahili - Chapter 9 - At-Tawbah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 35 — Surah At-Tawbah 9:35

Siku zitapo tiwa moto katika Moto wa Jahannamu, na kwazo vikachomwa vipaji vya nyuso zao na mbavu zao na migongo yao, wakaambiwa: Haya ndiyo mlio jilimbikia nafsi zenu, basi onjeni mliyo kuwa mkilimbika