Back to Languages

Swahili - Chapter 9 - At-Tawbah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 4 — Surah At-Tawbah 9:4

Isipo kuwa washirikina ambao mliahidiana nao kisha wasikupunguzieni chochote, wala hawakumsaidia yeyote dhidi yenu, basi hao watimizieni ahadi yao mpaka muda wao. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wacha-Mungu