Back to Languages

Swahili - Chapter 9 - At-Tawbah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 54 — Surah At-Tawbah 9:54

Na hawakuzuiliwa kukubaliwa michango yao ila kwa kuwa walimkataa Mwenyezi Mungu na Mtume wake, wala hawaji kwenye Sala ila kwa uvivu, wala hawatoi michango ila nao wamechukia