Al-Quran
Multilingual
Download Book
Home
Lunar Calendar
Blog
About
Donate
English
Download Now
Home
/
Books
/
Swahili
/
Surah At-Tawbah (9)
/
Verse 72
Back to Languages
Swahili - Chapter 9 - At-Tawbah
Translation by Ali Muhsin Al Barwani —
Permalink
Previous Chapter
Next Chapter
English
Arabic
Urdu
Hindi
Tamil
Bengali
Verse 72
— Surah At-Tawbah 9:72
Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa
View verse 9:72 page →
·
Raw JSON