Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 9 - At-Tawbah
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 73 — Surah At-Tawbah 9:73
Ewe Nabii! Pambana na makafiri na wanaafiki, na wakazanie. Na makaazi yao ni Jahannamu, na huo ndio mwisho mbaya