Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 9 - At-Tawbah
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 87 — Surah At-Tawbah 9:87
Wameridhia kuwa pamoja na wabakiao nyuma, na nyoyo zao zikapigwa muhuri; kwa hivyo hawafahamu