Back to Languages

Swahili - Chapter 10 - Yunus

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 13 — Surah Yunus 10:13

Na kwa yakini tumekwisha ziangamiza kaumu za kabla yenu walipo dhulumu, na waliwajia Mitume wao kwa Ishara zilizo wazi; lakini hawakuwa wenye kuamini. Ndio kama hivyo tunavyo walipa watu wakosefu