Back to Languages

Swahili - Chapter 10 - Yunus

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 37 — Surah Yunus 10:37

Na haiwezekani Qur'ani hii kuwa imetungwa na haitoki kwa Mwenyezi Mungu. Lakini hii inasadikisha yaliyo tangulia, na ni mfafanuo wa Kitabu kisicho na shaka ndani yake, kutokana na Mola Mlezi wa viumbe vyote