Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 10 - Yunus
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 42 — Surah Yunus 10:42
Na wapo miongoni mwao wanao kusikiliza. Je, wewe unaweza kuwafanya viziwi wasikie ijapo kuwa hawafahamu