Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 10 - Yunus
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 47 — Surah Yunus 10:47
Na kila umma una Mtume. Alipo wajia Mtume wao walihukumiwa baina yao kwa uadilifu, wala hawakudhulumiwa