Back to Languages

Swahili - Chapter 10 - Yunus

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 7 — Surah Yunus 10:7

Hakika wasio taraji kukutana nasi, na wakaridhia maisha ya dunia na wakatua nayo, na walio ghafilika na Ishara zetu