Back to Languages

Swahili - Chapter 101 - Al-Qariah

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 1 — Surah Al-Qariah 101:1

Verse 2 — Surah Al-Qariah 101:2

Verse 3 — Surah Al-Qariah 101:3

Na nini kitacho kujuilisha nini Inayo gonga

Verse 4 — Surah Al-Qariah 101:4

Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika

Verse 5 — Surah Al-Qariah 101:5

Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa

Verse 6 — Surah Al-Qariah 101:6

Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito

Verse 7 — Surah Al-Qariah 101:7

Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza

Verse 8 — Surah Al-Qariah 101:8

Na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu

Verse 9 — Surah Al-Qariah 101:9

Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya

Verse 10 — Surah Al-Qariah 101:10

Na nini kitacho kujuilisha nini hiyo

Verse 11 — Surah Al-Qariah 101:11