Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 103 - Al-Asr
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 1 — Surah Al-Asr 103:1
Naapa kwa Zama
Verse 2 — Surah Al-Asr 103:2
Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara
Verse 3 — Surah Al-Asr 103:3
Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri