Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 104 - Al-Humazah
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 1 — Surah Al-Humazah 104:1
Ole wake kila safihi, msengenyaji
Verse 2 — Surah Al-Humazah 104:2
Aliye kusanya mali na kuyahisabu
Verse 3 — Surah Al-Humazah 104:3
Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele
Verse 4 — Surah Al-Humazah 104:4
Hasha! Atavurumishwa katika H'ut'ama
Verse 5 — Surah Al-Humazah 104:5
Na nani atakujuvya ni nini H'ut'ama
Verse 6 — Surah Al-Humazah 104:6
Moto wa Mwenyezi Mungu ulio washwa
Verse 7 — Surah Al-Humazah 104:7
Ambao unapanda nyoyoni
Verse 8 — Surah Al-Humazah 104:8
Hakika huo utafungiwa nao
Verse 9 — Surah Al-Humazah 104:9
Kwenye nguzo zilio nyooshwa