Back to Languages

Swahili - Chapter 108 - Al-Kawthar

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 1 — Surah Al-Kawthar 108:1

Hakika tumekupa kheri nyingi

Verse 2 — Surah Al-Kawthar 108:2

Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi

Verse 3 — Surah Al-Kawthar 108:3

Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu