Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 113 - Al-Falaq
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 1 — Surah Al-Falaq 113:1
Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko
Verse 2 — Surah Al-Falaq 113:2
Na shari ya alivyo viumba
Verse 3 — Surah Al-Falaq 113:3
Na shari ya giza la usiku liingiapo
Verse 4 — Surah Al-Falaq 113:4
Na shari ya wanao pulizia mafundoni
Verse 5 — Surah Al-Falaq 113:5
Na shari ya hasidi anapo husudu