Verse 1 — Surah An-Nas 114:1
Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu
Verse 2 — Surah An-Nas 114:2
Mfalme wa wanaadamu
Verse 3 — Surah An-Nas 114:3
Mungu wa wanaadamu
Verse 4 — Surah An-Nas 114:4
Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas
Verse 5 — Surah An-Nas 114:5
Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu
Verse 6 — Surah An-Nas 114:6
Kutokana na majini na wanaadamu