Back to Languages

Swahili - Chapter 14 - Ibrahim

Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink

Verse 19 — Surah Ibrahim 14:19

Huoni kuwa Mwenyezi Mungu ameziumba mbingu na ardhi kwa Haki? Akitaka atakuondoeni na alete viumbe wapya