Back to LanguagesPrevious ChapterNext Chapter EnglishArabicUrduHindiTamilBengali
Swahili - Chapter 14 - Ibrahim
Translation by Ali Muhsin Al Barwani — Permalink
Verse 33 — Surah Ibrahim 14:33
Na akalifanya jua na mwezi kwa manufaa yenu daima dawamu, na akaufanya usiku na mchana kwa manufaa yenu